@Makaveli_255 First 1m I made, I went and got the biggest booty that rejected me for being broke in uni.
First 10m I bought a fast car! Almost died in that bitch.
First 100m I'm living in my own house!
God's good.
Last week, the Tanzanian government suspended a local newspaper for 6 months for reporting that the country’s vice president had refused to resign.
Today, VP Emmanuel Nchimbi announced he’s resigning after a year in the job 👀
Zambia wamepiga kura, Raia 4.9M.
Generally, hakujawa na internet blackout wala any serious atrocities, lakini wamechukua siku 4 kutangaza matokeo.
Tanzania, waliopiga kura walikuwa 32.7M. With no access to internet, violence everywhere… lakini walitumia only 2 days.
Haya ni maajabu!!!
Makala ya mwandishi wa Shirika la Habari la CNN, Larry Madowo, iliyochunguza madai ya vifo vilivyohusishwa na maandamano nchini Tanzania kabla na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, imepokea Tuzo ya Ubora katika Uandishi wa Habari ya 'Salute to Excellence 2026' kutoka Umoja wa Kitaifa wa Waandishi wa Habari Weusi (NABJ) nchini Marekani.
Tuzo hiyo ilitolewa wakati wa Mkutano na Maonesho ya Ajira ya Umoja wa Kitaifa wa Waandishi wa Habari Weusi wa mwaka 2026, uliofanyika Atlanta, Georgia, Marekani, kuanzia Agosti 12 hadi 16, 2026.
Madowo alitangaza kutambuliwa kwa kazi hiyo Jumapili, Agosti 16, akiwashukuru Watanzania waliokubali kutoa ushuhuda na simulizi zao kwa ajili ya uchunguzi huo.
“Uchunguzi wetu wa kihistoria kuhusu Tanzania umeshinda Tuzo ya Ubora katika Uandishi wa Habari ya 'Salute to Excellence' 2026 kutoka Umoja wa Kitaifa wa Waandishi wa Habari Weusi. Asanteni Watanzania wote jasiri waliotuamini na kutupatia simulizi zao,” aliandika Madowo.
Umoja wa Kitaifa wa Waandishi wa Habari Weusi ni taasisi ya kitaaluma isiyo ya kibiashara inayowawakilisha wanahabari na wataalamu wa sekta ya habari nchini Marekani na maeneo mengine. Ilianzishwa Desemba 12, 1975, mjini Washington, D.C., na wanahabari 44.
Taasisi hiyo inajihusisha na kutetea maslahi ya wanahabari weusi, pamoja na kutoa mafunzo, fursa za maendeleo ya taaluma, ufadhili wa masomo na kutambua kazi bora katika uandishi wa habari. Ina zaidi ya wanachama 4,000 wakiwemo wanahabari, wanafunzi, waelimishaji na wataalamu wengine wa habari.
Makala hiyo ya Madowo ilichapishwa Novemba 20, 2025, na ilichunguza madai ya mauaji yasiyo halali na madai ya kufichwa kwa ukubwa wa vifo vilivyotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025.
Katika uchunguzi huo, CNN ilitumia video zilizorekodiwa maeneo ya matukio, uchambuzi wa kitaalamu wa video, picha za satelaiti, ushahidi wa mashahidi pamoja na mbinu za kuthibitisha maeneo na muda ambao matukio yalitokea.
Makala hiyo ilidai kuwa polisi na watu wenye silaha ambao hawakutambuliwa walitumia nguvu za mauaji dhidi ya baadhi ya raia wasio na silaha katika maeneo mbalimbali, huku ikidai pia kuwa baadae kulikuwa na juhudi za kuficha ukubwa halisi wa vifo.
Kutunukiwa kwa tuzo hiyo kunaifanya kazi ya Madowo kuhusu matukio ya baada ya uchaguzi wa Tanzania kuwa miongoni mwa kazi za uandishi wa habari zilizotambuliwa na Umoja wa Kitaifa wa Waandishi wa Habari Weusi kwa mwaka 2026.
Haitakuwa kawaida, hata siku moja, kwamba wewe Samia Suluhu uuwe maelfu ya watu, usababishe maumivu na makovu ya kudumu, alafu ututawale. Tutaikumbuka Oktoba 29 milele, na historia ya unyama wako haitafutika.
Lazima uwajibike, wewe na jamii yako!
RIP Our Fallen Heroes!
Ni miezi 9 tangu Samia Suluhu auwe maelfu ya watu Oktoba 29 ‘25 akijilazimisha kuwa rais.
Mauwaji ya kihistoria.
Ni miezi 9 ya maumivu, mateso, huzuni, uchungu na majuto kwa Watanzania.
Tunasisitiza uwajibikaji.
RIP to the fallen heroes!💔
Leo tunatimiza MIEZI 9 tangu ndugu zetu wauliwe kikatili sana na SAMIA kwenye #MO29 Hii siku haijikusahaulika vichwani mwetu kamwe.
Dunia nzima iliona unyama uliofanywa na vyombo vya usalama kwa watanzania nchi nzima.