Je wataka kujua ni kwanini vijana wengi wanajiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya na njia mbali mbali za kumsaidia MTU aliyeathirika na madawa ya kulevya? Usikose kuangalia #datazakitaa ifikapo saa 3 kamili usiku ndani ya @tvetanzania pekee. #DataRevolutionTz
Kama kawa leo tutajadili kuhusu ukatili wa kijinsia, moja ya changamoto kubwa inayowasumbua vijana wengi mtaani. Je wataka kujua aina za ukatili wa kijinsia? Basi jiunge nasi kupitia @tvETanzania mnamo saa 3 kamili usiku. #DataRevolutionTz@DataZetu@tanzania_bora