Kama Kijana ninayeota kufanya mambo makubwa katika sector ya Media || Arts & Entertainment || Financial Inclusion || ninafurahi kushiriki Vijana Leadership Academy 2021 inayofanyika Jijini Arusha @mstcdc kwa ajili ya Learning | Sharing & Co-creating pamoja na vijana wenzangu.
Give things time. Don’t let instant gratification make you forget how much is already happening in your favor. Just because you don’t see it all instantly manifesting doesn’t mean great things aren’t on the way or in the works for you. Be patient and be faithful. Keep believing.
Coming soon on your favourite TV 📺 station. You better stay tuned.
Guess what????
I am the TV show Producer🖱️ || Set Designer ✍|| Floor Manager🕴 || Branding 🌇
" Ndoto ni lugha ya Dunia"
Unapotaka kitu chochote kile chema kwa dhati kutoka Moyoni mwako hata Mungu anasimama na wewe kuhakikisha unafanikiwa - Paul Coelho
"Every test is a lesson, every lesson is a blessing if you choose to see the message"
"Kila jaribu ni somo na kila somo ni baraka kama ukiamua kujifunza ndani yake".
#KingNation 👑Nation #🏟StadiumStatusEntrepreneur
Here We go... jifunze vitu mbalimbali vitakavyokuongoza kutumia haki yako ya msingi ya kupiga kura. Hii ni Kura Yetu Straight Outta @plustvtz#GoVote#KuraYetu
https://t.co/q43DldKttC
Kuwa na kipaji ni asilimia 10 ya mafanikio. Asilimia 90 inajengwa na uvumilivu, nidhamu, kujifunza na kutokata tamaa. 2020 Nimejifunza kwenda nje ya ulichozoea na kufanya unachopenda. Shooting Ndoto Kubwa TV Show 2020 kama Host and Producer. #StayTuned#StadiumStatusHustler