Top Tweets for #KaaHumo
Leo zimezinduliwa jezi za Ndondo Cup 2023, zimeenda shule, zimekaaa mbele palee, sasa rasmi msimu wa 10 wa Ndondo Cup tunauanza jumapili hii.
Ni Keko Furniture vS Mabibo Market Kinesi kuanzia saa 10 alasiri kwa kiingilio cha buku 2.
#kaahumo #famasialanini

Uzuri wako hauna maana kama huna maarifa kuhusu mahusiano.
#balozikasema Elimu mdomo busara sikio #kaahumo
Paje si Bwejuu na kufunika si wazi wala Mkunazini si Kiembe Samaki.
#balozikasema #kaahumo malindi si jia la Bububu

#TanzaniaIsFree ndo maana unaweza kutweet free kabisa kwamba TZ haiko free na ukaenda kulala kwa amani tu baada ya kuitemea mate nchi ya wazazi na babu zako na maisha yakaendelea. Watu wanakuchora tu duniani ukilinganisha ufree wetu na nchi wasizo free. #KaaHumo
Tafakuri ya leo - wanaohudhuria wengi kwenye mikutano hawapigi kura, wapigaji kura wako nyumbani wanawazoom tu. #kaahumo
Dada zangu watoto wako hawatakula six packs wala ndevu tafuta mtafutaji yule wanaemuita msanii...
Hao ndio wenye akili ya maisha😎
#Kaahumo
upumbavu ni kujua ukweli na kuuona ukweli lakini bado ukaamini uongo
#Kaahumo
Usijaribu kukata tamaa kwa ajili ya maneno ya watu,yalikuwepo kabla hujazaliwa na utayaacha..😎
#Kaahumo
Pesa na elimu vinaweza kukufanya udharau wengine kama huna hekima na busara #Kaahumo
ukijiona unaelimu lakini ukitoa hoja yako inapingwa na asilimia kubwa ya watu(elite and non elite) inaonekana ya kipumbav..
Kaa chini halaf jiambie mimi ni kilaza
#Kaahumo
Inaboa tunawafollow hamfollow back halaf mnakuja kuomba rt kwenye challange ili mshinde🚮🚮..
"Ukijiona wa maana kwa kuwadharau wengine kisa unamafanikio iko siku utapata tatizo halaf msaada unabidi utoke kwa uliemdharau"..💉💉
#KaaHumo
#Miminafact
Hutapona maumivu ulionayo kama utaruhusu matukio yaleYale yajirudie kichwani mwako!fikiria mengine kilichotokea kimetokea
huwezi kurudisha siku nyuma ukakibadili"
#KaaHumo
What’s higher than number 1? 😂 #Kaahumo
Wandiba.
Wale ambao walikuwa wanaruka majoka zamani (waenda club) watamkumbuka wandiba, jamaa mmoja hivi mbavu nene alikuwa mlinzi wa baadhi ya club za usiku hapa dar. Mbali na kwamba alikuwa mlinzi wa club ila jamaa bado alikuwa ana body iliyo wavutia warembo kibao
#KaaHumo
Haiwezekani Ule Dagaa Utapike Kuku....#Kaahumo..@Mkuruzenzi @LusakoWaKwanza @Msumari9 @mpambazi_ @Mangiwakwanza @troni_tz @kichorobaa88 @OfficialNancy2 @incredible_nory
Wanaita ‘Homonyms’, mathalani kuna “Principle” na “Principal”, they are pronounced the same-Yes, but they are different in meaning.
#KaaHumo
Asikwambie mtu, unapojifunza Kiingereza, ukikomaa kwenye ‘Verb Patterns’ tuu, basi umeiva.
Ni kwenye verbs ndo utajifunza
Tenses
Passive/Active Voices
Conditionals
Transitive/Intransitive
Sentences/Clauses
Direct/Indirect Speech
Gerunds
Phrasal Verbs
Verb Phrases
#KaaHumo
A new study shows that bathing too often is actually really bad for your skin. If you take daily showers, you may be doing more harm to your body than good. Showering once a day dries out your skin and removes essential oils.
#KaaHumo
Kijana Unapaswa kutafuta PESA mpaka waliokukataa wakikuona wanaishia kusema UNANIKUMBUKA
#KaaHumo
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers










