@Jambotv_ Swala la katiba ni is wananchi na wala halipaswi kuunganishwa na Ilani ya chama chochote. Waachie wenyewe waseme ni na wateue watu wa kusuka mistari. Ikiwezekana itisheni uchaguzi watu wapiga kura hata kwa njia ya mtandao wachague wajumbe na Mwenyekiti πππππ
@Sisimizi3 Duh, kwa hiyo nani mshindi hapo!! Ikitokea wakatangaza maandamano ya wiki tutaendelea kuchekelea hali hii.! Wakisema 8-8 je?! Wahusika wakae pamoja maisha yaendelee hatutaki yale mambo kwa mara nyingine hatutaki!
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema changamoto anazopitia zina mwisho, akizungumza na Viongozi na Wafuasi wa chama hicho waliofika katika Mahakama ya Rufani kufuatilia mwenendo wa kesi hiyo leo Julai 3, 2026.
Kauli hiyo imekuja baada ya Mahakama ya Rufani kusikiliza maombi ya marejeo yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na kuahirisha shauri hilo, ikieleza kuwa itatoa taarifa baadaye kuhusu tarehe ya kutolewa kwa uamuzi.
#MillardAyoUPDATES
@zoetjesheeftX Haya mambo mmachungu mno, niliwahi tamkiwa kwa mwanangu wa kwanza ila kilichosaidia na kinachoendelea kushikiria huduma nikimuona yule mtoto namuona babu yangu kichwa hadi miguu. Japo, sauti ile ujirudia mara kwa mara hasa napokuwa peke yangu hasa katika hali ya ukimyaπ
@swahilitimes Hapo dhamani za kale, mtoto alipokuwa akizuia kwa nguvu juu ya kosa furani, ilimbidi alifanye ili kuona kitakachotokea... baadae elimu ilipewa kipaumbele na watoto wakaanza kuelimishwa na wakawa watoto wazuri... ni vyema upande mmoja ukaeneza elimu ya uraia na usalama na watu ..
@royalmediatz Chairman vs Chairman, vya president umevitoa wapi??? Sema tukiwa mbele ya wananchi tunakuwa huru sana, nao wakifika nyumbani ndio maswali yanawajia vichwani mwao ππ
@Royaltv_plus@AllyHapi@ChademaTZ2 Kwani CHADEMA mwanasheria ni LISSU pekee?! Kwamba hayupo uraiani chama hakiwezi fungua mashitaka madogo madogo! Tungeweza Tungemfufua Mtikira muungane nae ila ndio basi tena!!!
Dkt. Wolfgang Benard, Bingwa wa Magonjwa ya Homoni, Hospitali ya Taifa Muhimbili anafafanua aina mambo ya kufanya ili kujilinda dhidi ya Ugonjwa hatari wa Kisukari
Ni muhimu kufuata ushauri huu kwani Kisukari ni Ugonjwa unaoweza kuepukika kabisa
Video: Muhimbili TV