Droo ya kupanga hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imepangwa leo
Benfica vs https://t.co/jfdSx91QPy
Villarreal vs Man City
Atletico Madrid vs Bayern
FC Salzburg vs Liverpool
Inter Milan vs Ajax
Sporting CP vs Juve
Chelsea vs Lille
PSG vs M. United #MillardAyoSPORTS
#MICHEZO Afisa mtendaji wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez azuiliwa kuingia uwanja wa Benjamin Mkapa kutazama mechi ya Simba na Yanga.
Una maoni gani kuhusiana na tukio hili?