Naomba retweets hapa wakuu
π¨ HABARI NJEMA! π¨
π AIRTEL 5G ROUTER π
β Kasi Bila Mipaka β Furahia intaneti yenye kasi popote ulipo!
β Bando la Mwezi Bila Kikomo β Tumia bila hofu ya kumaliza kifurushi.
β Unganisha hadi vifaa 64 kwa familia yako au ofisi kwa ufanisi zaidi.
Kutumia barafu,
Licha ya kuwa sehemu kubwa ya bara la afrika haina misimu ya thelut, njia hii imetumika kwa karne nyingi hasa katika maeneo ambayo misimu ya baridi ni mirefu na jua hukosekana.
Leo zifahamu njia Tano zilizokuwa zikitumika kuhifadhia chakula hapo zamani katika karne ya 18 kabla ya majokofu (fridge).
ππΎππΎππΎ Shuka nayo.
Kufukia kwenye udongo
Udongo umetumika kuhifadhi chakula kwa kukifunika hasa vyakula vya mizizi kama muhogo ii visiharibike. Njia hii pia mboga mboga zenye mzizi na baadhi ya matunda.