Leo nakuletea verse kutoka kwa @NikkiwaPili,Rap ya Fiesta battle 2012(Cypher)
Siku ya mtumwa mei mosi
Sikukuu ya mfanyakazi ni kuwa boss
Mbwa wa boss ni boss wa Mbwa wengine
*BIASHARA 20 ZINAZOFAA MAMA MTU MZIMA AU KUMUWEZESHA MAMA MTU, ZINAZOWEZA KULETA MAFANIKIO MAKUBWA KWA HARAKA*
Mama mtu mzima unapotafuta biashara, Zingatia urahisi wa kuanza, faida inayoonekana mapema, na biashara yenye mzunguko wa wateja wa kila siku.
1. Upikaji chakula cha ofisini / mgahawa mdogo (catering) – watu wengi hawana muda wa kupika kazini.
2. Duka la nafaka (maharage, mchele, unga, kunde) – bidhaa za lazima kila siku.
3. Upikaji wa vitafunwa (chapati, maandazi, sambusa, keki ndogo) – sokoni, ofisini, na majumbani.
4. Mbogamboga na matunda – mzunguko wa kila siku, wateja wanarudia.
5. Saluni ya wanawake / kusuka nywele nyumbani. huduma ya mara kwa mara kwa wanawake.
6. Uuzaji wa nguo za kina mama (khanga, vitenge, gauni)
7. Kuuza nguo za watoto – Ni biashara ya mzunguko mzuri maeneo yote Tanzania. Angalia soko lako uuze spesho au mtumba
8. Biashara ya mitumba (nguo & viatu) – bei nafuu, wateja wengi.
9. Biashara ya vipodozi na urembo – bidhaa zinazotumika kila siku.
10. Kuuza bidhaa za usafi (sabuni, unga wa kufulia, pampers, pads) – kila kaya inahitaji.
11. Kuuza juisi freshi
12. Kupika chakula cha sherehe (catering events) – harusi, kitchen party, send-off nk
13. Kuuza gas (mitungi) bidhaa inayotumika kila siku.
14. Kuuza bidhaa za kilimo (viazi, vitunguu, nyanya, karoti) gharama ndogo, faida ya haraka.
15. Kuuza vyombo vya nyumbani (vikombe, masufuria, mabeseni, plastiki) – hasa sokoni au mitaani.
16. Ufugaji wa kuku wa mayai na nyama – soko la kudumu.
17. Uuzaji wa mikoba, viatu, na accessories – akina mama hupenda kujipendezesha.
18. Kuuza vocha na simu kwa rejareja (airtime & mobile money agent) – mzunguko wa pesa kila siku.
19. Kupika chakula cha watoto (unga wa lishe, porridge) – wazazi wanahitaji afya ya watoto.
20. Fursa untakayoiona mtaani kwako au kwa Kikundi ulichopo. Mfano kutengeneza sabuni, kuanzisha Daycare, kuwa na duka la Mangi nk.
Ninaweza pia kukusaidia kujua fursa kulingana na sehemu ulipo au uwezo wako.
Hizi Kwa nini zinafaa?
• Ni biashara zenye soko la kila siku (chakula, mavazi, usafi).
• Zinahitaji mtaji wa kati hadi mdogo kulingana na kiwango anachoweza kuanzia.
• Zinatoa faida ya haraka kwa sababu wateja wanarudia mara kwa mara.
Wamama wengi si watu wa biashara Mtandaoni hivyo kijana wenu kelvinkibenje nimezingatia hilo
Biashara gani Umeipenda na unatamani niichambue kitaalam ikiwa ni pamoja na kukupatia machimbo na njia za uendeshaji?
Jana niliona andiko watu wanalalamika kwanini watu hawasomi vitabu vya kiswahili? Lakini kama waandishi wenyewe ndo hao hawasiliani na wateja wake hicho kitabu utasomaje?
@zumbekhan Kwani kugongewa ndio nini😂😂😂 kuwa na demu ambaye hujamkuta na bikra ni sawa na kusafiri kwa bus, likifika kwa kituo unqchotakiwa kushuka utashuka tu😂🚮
@TheRealJongwe
Asilimia kubwa ya wanaomchukulia poa Sugu ni hawa vijana waliozaliwa hivi karibuni ambao sa hivi ndo wanavaa modo na kupaka poda
Ila Kwa sisi wahenga ambao miaka ya 2000 - 2001 ndio tunaomjua Mr 2 Sugu ni naniMie sinaga muda wa kusikiliza hizi bongo hiphop