Samia Suluhu atashinda kwa zaidi ya 83%. CHADEMA itaendelea kuzama zaidi katika mifarakano ya kimaslahi. ACT Wazalendo bado itasinyaa katika siasa za Bara. Vyama vya siasa vipya vitaanzishwa. Mbio za Urais 2030 ndani ya CCM zitaleta siasa mpya, zenye mengi ya kushangaza na mikakati ya aina yake kuanzia tarehe 1 Novemba 2025 hadi tarehe 30 Julai 2030.

Magufuli atashinda kwa zaidi ya 80%. Lissu atasaidia kuijenga upya CHADEMA lakini itatokea mifarakano ya kimaslahi. Mwinyi atashinda Zanzibar, CCM na ACT wataunda GNU iwapo ACT hawatasusa. ACT Bara itasinyaa. CUF & NCCR wamefika mwisho. 2025 utakuwa uchaguzi usiotabirika kwa CCM.