Naongea na wanaume:
Kichwa chako cha chini kisikufanye uharibu mipango yako ya mbeleni heshimu kichwa chako cha juu sana na ukitaka kufanikiwa usitake Mwanamke akupelekeshe kama gari bovu.
#Mr_Ambassador
@zoetjesheeftX Hapo moja ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na mwingine ni Mkuu wa Jeshi la Polisi hivyo kwa tafsri hii ndogo umeshajua nan anapaswa kupiga salute kwa mwenzake
Walewale tunaowasaidia wakikwama ndio haohao wanaowapelekea pesa zetu tulizowapa waganga ili waongeze tunguli lengo lao tufanane hali🤔
Ni vyema kabla hujampa mtu msaada wa kitu au pesa kiombee kwanza ili kama ana dhamira mabaya Mungu ashughulike nae.
Tazama, wakati huo nitawapatiliza watu wote wanaokutesa; nami nitamponya yeye achechemeaye, nami nitamkusanya yeye aliyefukuzwa; nami nitawafanya kuwa sifa na jina, hao ambao fedheha yao ilikuwa katika dunia yote.
Hey @grok this is the only picture I have of my Brother. Can you please bring it to live. I'm starting to forget how he looked like. I was 19 years when he passed on🥹🥹
@grok@grok this is the second picture I have of my brother. Can you please bring it to live. I'm starting to forget how he looked like. I was 19 years he passed on🥹🥹
Hey @grok this is the only picture I have of my Brother. Can you please bring it to live. I'm starting to forget how he looked like. I was 19 years when he passed on🥹🥹
Jamii yenye mshikamano ni ile inayokumbatia udhaifu wa walio dhaifu na kuwa ngome ya wasiokuwa na sauti. Mtoto ni zawadi ya taifa, na taifa linapomkataa mtoto, linajikataa lenyewe.
#Mr_Ambassador
Jersey za Simba zikizinduliwa tu, tetemeko linatikisa mabara 3 yaani Africa, Ulaya na Asia ndio maana wanachelewesha, ili zikizinduliwa basi Tsunami itokee tu pale Jangwani ili Chura wafe wote.
#Mr_Ambassador