ASANTE MUNGU KWA HIKI KIDOGO.
Huyu mpumbavu kabla ya MAANDAMANO ya MO29 alikuwa anaita media kila siku anatisha watanzania kuwa wasiandamane.
Miezi 8 baadae anazitafuta FUTI SITA KWENDA CHINI. Alijua ataishi milele. Washenzi kama hawa wakifa ni FURAHA kwa nchi.
REPOST 200
MANGE KIMAMBI Influence Yake Ni Kubwa Sana Aliwahi Itisha Maandamano Enzi Za MAGUFULI Wakamwagwa POLISI Barabarani Nchi Nzima Na JWTZ Wakatangaza Usafi
MANGE Akakiwasha Ubalozini Maandamano Yalikua Makubwa Na Ujumbe Ulifika.
MANGE Wa 2015 Karejea Tena 2025🔥
Mpeni RT 200🤝
Kitka haya mambo yote, hakuna kitu ninachukifurahia kama hiki!! Huyu mwamba ameonyesha UZALENDO waajabu sana.! Ropost 500 zimfikie @IAMartin_ 🥰🥰🙌💪💪✌️✌️✌️
Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama
tumpe retweet 1000
MAFWELE ndie alieniteka na kutaka nife kwa kupigwa Risasi ya kichwa na kutupwa MBUGA YA WANYAMA HUKO MKOANI KATAVI.
Watanzania MJUENI KW MAJINA NA SURA.
Anaitwa : FAUSTINE MAFWELE.
NI KIONGOZI KWENYE JESHI LA POLISI @tanpol
Repost 200 wana walijue TEKAJI la hapa mjini.