Sijua mbona,
Nikisikia NORTH naona tu drought na ngamia wakiangamia.
SOUTH, wenyeji wakipiga wengine eti wamekuja kuchukua jobs zao.
WEST, Kuna mvua, chakula ni kingi, development kiasi, but ushamba tu.
EAST, watu wanajikaza ku make it ndiyo waende WEST watoke block.
Kuna siku nilinunua maziwa packet moja hapa USA nikapeana dollar moja nikidhani nitarudisha ata machuma ama inaitwa aje hii pesa ya Japan. Siwezi sahau hiyo siku ju kila mtu aliniona chizi hadi wakanipeleka San Diego Mathare Hospital. Ju hiyo time dollar ilikuwa same na Ksh 152.