@Buberwa_@Adventure_36 Changanganya wa kutoka arusha raqeeb ana bus karibu 5 kwa siku zinatoka kwenda tanga kuna ishu nyingi waganga wa kienyejiπππ biashara matunda samaki
@Baradhuli2 Kuna mmoja huyo aliyetangulia kuanguka nafikiri atakuwa na maumivu ya kuumwa mvavu na mgongo kwa maisha yake yote ysliyobakia baada ya kuangukia huo msingi hapo
@Eric__Bernard Alafu sisi zamani tulicheza hii michezo miaka ya 80 tena siyo shule ni kitaa tu kupasua chupa kwa maji kuna kiasi unaweka maji alafu naacha kinafasi cha hewa kidogo ili ukipiga hivyo ipasuke sisi mchezo wetu ilikuwa inatakiwa upige pigo moja tu ipasuke wala si kurudia mara nying
@JoGoo_Kisiki Washindi wote wametoka kenya na uganda tanzania hakuna hata mmoja wengi wanaenda kwa ajili ya starehe na kuuza utumbo wanawake walio wengi
@JonMrema Hivi fokasi ya chama cha ubwabwa ni kusema na kuitamka chadema kila wakati wqnapokuwa mbele ya mic na keybord?.....Maana neno chadema haliwatoki kwenye vinywa vyenu ama mkitamka chadema account zenu zinaona kwa kuwekewa fedha na mboga mboga ?
@SimbaSCTanzania Kuna wachezaji wengi wanasajiliwa kwa maslahi ya viongozi si timu na hili majibu yake uonekana uwanjani kuna wachezaji wanaletwa kazi yao inakuwa ni kupanda ndege na bus la timu tu hakuna kitu anafanya uwanjani
@Sisimizi3 Usitamani cha mtu kaka tafuta yaki ya halali isiyo na makando kando ukute wenzako hao wanahemewa visogoni na wewe unatamani je upo tayari kwa hilo ?.....Hawawezi kukuekeza ukweli halisi pesa zinasiri kubwa usitishwe na hizo ndevu na miili mikubwa waliyonayo