Jezi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa imeuzwa kwa Sh. 4,000,000 kwa S & Sons LTD katika Mnada wa Kibegi
Baada ya kifo cha Patrick Mafisango mwenyekiti wa Simba Ismail Rage alitangaza kuistaafisha jezi namba 30 ya Simba miaka michache baadaye ikaonekana imevaliwa na Mseja.
Mwaka 2023 Jonas Mkude alipoondoka Simba ilitangaza kuistaafisha jezi namba 20 leo imevaliwa na Che Malone
ALLY KAMWE AKANUSHA UVUMI WAKUPOKWA MCHEZAJI NA SIMBA
.
Ofisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga ALLY Kamwe amekanusha kuwa hawakuwahi mhijtaji Fabrice Luamba Ngoma, hizo ni Propaganda tu
Yesssss najua ni Ngumu Mayele kusalia Jangwani kutokana na Offer nono alizonazo mezani lakimi kwangu Mimi sioni akienda kushine Kwingine tofauti na alichokifanya Yanga
🚨MAYELE KAMA NI KWA MAPENZI YAKE NA YANGA BASI AENDELEE KUSALIA JANGWANI, ILA KAMA ANATAKA KUKUA ZAIDI BASI AKATAFUTE CHANGAMOTO SEHEMU NYINGINE NA MKWANJA MREFU
Hongera sana Oscar Mirambo TD wa TFF Kwa kuweza kufikia hatua ya Juu sana duniani ktk Eneo la Ukocha. Hapa TD akiwa Uingereza katika Masomo yake ya UEFA PRO DIPLOMA.
DIRISHA LA USAJILI KUFUNGULIWA KESHO
.
Shirikisho la Soka Tanzania bara (TFF) Limetangaza rasmi kuwa dirisha la Usajili litafunguliwa kesho jumamosi 1 July 2023 na kufungwa 31 August 2023
KWA AKILI YENU YA KAWAIDA
.
Mnadhani Yanga wangefungiwa kisa kushindwa kumlipa Luc Aymae? Yaani Yanga ya bajeti bil 17.8 washindwe, acheni utani kidogo
🔵 🚨 | DEAL LOADING ⏳
Klabu ya JKT Tanzania imeanzamchakato wa kukamilisha usajili. Wa beki wa kati wa Singida Fountain Gate FC Raia wa Ivory Coast Pascal Wawa .... 🔵 #Jkt
SAWADOGOANAVYOWANYOOSHA SIMBA HUKO,
Klabu ya Simba imeshindwa kufikia makubaliano na kiungo Ismael Sawadogo kuvunja Mkataba wake, Sawadogo anataka apewe Mzigo wake Mil 700