#UZI
💨JE SIMU YAKO INATUMIA DATA KULIKO KAWAIDA?
Sababu 7 Zinazofanya Simu Yako Itumie Data Kupita Kiasi (Na Suluhisho La Kila Moja)
Shuka���👇
Kindly repost🔄
Hakuna biashara ndogo kwenye wazo kubwa!
Bidhaa nyingi bora zinakwamishwa na vifungashio duni—hazivutii, hazilindi ubora, hazishindani sokoni.
Ukiwekeza kwenye packaging solutions za kisasa kwa biashara ndogo, unasaidia uchumi wa wajasiriamali na utatengeneza pesa nyingi!
5. Aina ya kuku
Je, unataka kufuga broilers au layers? Au bata?
Nunua vifaranga kutoka kwa wafugaji wa kuaminika—kizazi cha kwanza (F1) ndicho bora.
More:⤵️
MWISHO
Ukilenga haya yote, utakuwa mfugaji wa mfano.
Tuchukulie kilimo cha kuku kama biashara halali kama real estate—si hobby ya weekend.
Nakutakia mafanikio mema!
Uzi huu umeandaliwa na mdau wetu ambae ameshea experience.
Kama unapenda tunachokifanya basi usiache kutofolo.
MAKOSA 10 YA KAWAIDA WAFANYABIASHARA WADOGO HUFANYA — NA HULETA HASARA.
Unapanga kuanzisha biashara au tayari unaendesha? Acha haya makosa yakuangushe mapema...
Hebu tuanze:
Thread: 👇