Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters
Kama wewe ni mtu unayependa haya mambo hapa ๐ umefika nyumbani!
- Business
- Marketing
- Branding
- Sales
- Growth Mindset
- Personal Development
Follow account yetu sasa hivi, maana hii ndiyo community yako sahihi!
Ukiiona tweet hii, retweet kisha tufollow โ tusonge pamoja!
Kama fundi, epuka mambo haya:
- Kupenda lift kutoka kwa mteja hata kama mnaelekea njia moja.
- Kula chakula au kupokea zawadi yoyote kutoka kwa mteja.
- Kuzungumze masuala yako binafsi na mteja.
Husiano wako na mteja ubaki purely professional, hakuna zaidi, hakuna pungufu.
Watu wengi mnaonekana kuwa watulivu kwa nje. Lakini ndani yenu mna mizigo ya familia, bili ambazo hazijalipwa, na ndoto ambazo bado hazijakamilika. Nawaombea wiki hii na mwezi huu uwalete matokeo ya jasho lenu.
Watu wengi mnaonekana kuwa watulivu kwa nje. Lakini ndani yenu mna mizigo ya familia, bili ambazo hazijalipwa, na ndoto ambazo bado hazijakamilika. Nawaombea wiki hii na mwezi huu uwalete matokeo ya jasho lenu.
Maisha hubadilika. Unapoteza upendo. Unapoteza marafiki. Unapoteza sehemu ya nafsi yako ambavyo hukuwahi kudhani vitatoweka. Halafu, bila hata kutambua, vipande hivyo hurudi. Upendo mpya huingia. Marafiki bora huja. Na toleo lako lililo imara na lenye hekima zaidi huja.
Ilinichukua muda kuelewa kuwa siwezi kusaidia familia yangu kabla sijajiinua mwenyewe.
Nikijaribu kuwavuta bila kusimama imara, nitabaki palepale kwa muda mrefu zaidi.
Hakuna mtu aliyekua na ndoto ya kukua awe mfagiaji, keshia, mlinzi, dereva wa teksi, msafisha magari, mhudumu wa baa au mfanyakazi wa kawaida dukani.
Sote tulikuwa na ndoto kubwa. Lakini maisha yakabadilika. Heshimu kazi ya mtu.
Unaweza kuwa Unachotaka Kuwa โก
Hakuna aliyezaliwa akiwa fundi umeme bingwa ila kila fundi mahiri alianza na shauku, mazoezi, na kufanya kazi ngumu.
โข Anza kwa kutaka kujifunza. Kwa kuuliza maswali, kusoma michoro na kuelewa misingi ya umeme.
โ Thread:๐
โข Inafuata viwango vya kitaalamu au professional standards kwa lugha ya kimombo. Project nyingi hutaka labeling kama sharti ili wakati wa ukaguzi ziweze kupita bila shida.
โข Inaokoa gharama. Unakuwa na downtimes ndogo kwenye system yako.
โ Soma Zaidi:๐
Kwa nini tunapaswa kufanya labeling ya waya kwenye control panels.
โข Inarahisisha matengenezo. Fundi hutambua waya haraka bila kubahatisha na kupunguza muda wa kazi.
โ Thread:๐
Kwa nini tunapaswa kufanya labeling ya waya kwenye control panels.
โข Inarahisisha matengenezo. Fundi hutambua waya haraka bila kubahatisha na kupunguza muda wa kazi.
โ Thread:๐
Gharama za matengenezo nazo pia hupungua.
Labeling si mapambo bali ni takwa la kitaalamu linalomtaka kila technician kulifata na hiii inaonyesha nidhamu ya kazi.
- Ni usalama
- Ni ufanisi.
Thank you; kama umependa andiko letu! Please, unaweza kutufollow sasa.
End.