Success is the maximum utilization of the ability that you have..,Dinero..๐ฐ Poder..๐ช Respeto..๐ Humanidad..๐ค Soy cambista!..Allergic to the haters type ๐
Laiti kama VIONGOZI WA SERIKALI TZ, Wangekuwa Fair, Wana LOVE, CARE n RESPECT for their people,..9 December ingekuwa Linanukia PILAU kila Nyumba mitaani, but their selfishness turn people into...Watanzania especially MASIKINI don't feel Nothing 4 their country!๐ค๐ถโโ๏ธ
@engassa08@EsirEid Nani kakudanganya mwenye fedha za kuchezea atashare ili kuondolea wengine umasikini e.g serikali yetu usema blah blah kuhusu kukwamua uchumi wa mtu 1 1 but utumia mabilioni linapotokea jambo fulani lisilo faida kwa wasiojiweza e.g kununua magoli
@EduTalkTz MWENYEZIMUNGU ni wa mwanzo bila chanzo na wa mwisho pasi n ukomo, kutokumjua MWENYEZIMUNGU ndipo kumjua kwenyewe n kutaka kujua zaid upelekea kumkufuru..."na wala msibishane juu ya yanayohusu ALLAH n dini pasipo elimu๐
@EsirEid@DullahTheking2 KIFO KIFO KIFO
Kuhisi uzito wa kifo hudhuria kuosha maiti unayemjua
Ili kuhisi uzito wa kifo hudhuria kuingia ndani ya kaburi la maiti unayemjua
Kadhalika kutambua ujuu n uvimbaji tunaojipa kisa mali, elimu, fame ni bure hudhuria MAKABURI
Huwezi ku differ who was which๐