@MpellyTech1@Herrybaree Yeye hajui kama ulichukulia hilo jambo kwa ukubwa kiasi hicho na ndo maana mpk sasa ww ndo unaeumia kila siku ukikumbuka hyo siku
@deo_immah@Karuhawe@MpellyTech1 Huwezi jua siku hyo alikua na stress gan,kwahyo hawezi kutambua kama alikosea,kwahyo yeye akimwambia siku ile majibu yake hakuyapenda ndo atajua kama alifanya makusudi,asipotambua makosa licha ya kuambiwa ndo am amwache kabsa
@Isiakamunga13@EsirEid 1. Unalindaje brand wakati mtu kashakufa?
2. Unapataje aibu wakati unajua ukiingia vitani ni kufa au kupona?
3. Wangekua na fedha za kuchezea maskini wasingekuepo nchi zao