Our young gem Luqman has been called up to the senior National Team - Taifa Stars 🇹🇿 after his consistent & great performances at club level & with the TZ U17 👏🏽 Hard work never goes unnoticed. At Kagera Sugar FC we are extremely proud of his journey & excited for what’s ahead
@Madari1929@EsirEid@Sirjeff_D Nnavyosema wewe ni snitch ni toka mwanzo pale ulipohoji wakati kumbe unajua kila kitu
Wakati kiuhalisia ilitakiwa umkanushe Issa kuwa taarifa aliyopost kuwa ni uongo ila wewe ukaanza Kwa kuzunguka
na kama kuna utapeli unaujua wewe ongea direct usifiche fiche
@Madari1929@EsirEid@Sirjeff_D na sio kila mtu ana access ya kufika huko gerezani (hatupo wote Dar mkuu)
sema nakuona SNITCH
kumbe kila kitu unajua kwamba Jeff anaficha harafu wewe unauliza maswali
@Madari1929@EsirEid@Sirjeff_D Usichoelewa ni nini? na sijatetea
Mimi nimeongea kutokana na nilichosoma alichoandika Jeff kwenda Kwa Issa
sasa kama wanaficha kuwa kinachotakiwa ni pesa na si kunyimwa dhamana kama alivyosema hizo sasa sio shida zangu
nimeongea mtandaoni coz vitu wamepost hapa mtandaoni
@Madari1929@EsirEid@Sirjeff_D Harafu wanaume hatuishi hivyo
Wewe kama unamtafuta unayesema hajibu comment zako si umchane direct sio kuzungua
Mimi sijui chochote baina yenu ila inaonyesha kuna shida between you two
@Madari1929@EsirEid@Sirjeff_D Mimi naona wewe ndo mkuu wa WANAFKI Sasa
umeanza Kwa kuhoji "kwa nini yupo ndani ?" wakati unajua
Unahoji tena "ana kesi gani?" (Kumbe unajua na ulishamtembelea)..mind you Mimi sijui chochote
Inaonyesha kuna mtu unamtafuta ajae kwenye angle yako...ndo UNAFKI huu
@Madari1929@EsirEid@Sirjeff_D Shida sio kulipiwa dhamana
MONEY LAUNDERING hainaga dhamana mkuu na ndo kosa alilolieleza
Sasa hii ungesoma usingehoji sana
Hata kama unamjua yeye ni tapeli (Kwa maoni yako)
@Madari1929@EsirEid@Sirjeff_D kumbe wewe una sababu zako unazozijua wewe na ndo unataka hizohizo zitajwe
ila mimi nimeshika maelezo ya barua yake
anyway tufanye alitapeli
ila hiyo sio kesi inayofanya isiwe na dhamana kilichofanya asipate dhamana kakieleza kwenye barua yake
@Madari1929@EsirEid@Sirjeff_D Acha uvivu mkuu uwe unasoma coz unajifunza pia siku likikufika
barua zake zote mbona zinaonyesha kila kitu
Kaonyesha kosa na Kwa nini wanaendelea kumshikilia na mengine mengi tu.