@kilepi_tweve Utapata shindikizo la kidunia kuhusu haki za binadamu ni kuwaweka katikati ya Bahari tu, No VIP treatment ugali maharage na maji ya Baharini ๐๐ Wizi wa fedha za umma ungekomeshwa kabisa na tungesonga mbele
@Tweener003 Ningekuwa Rais Ilitakiwa Africa Kuwe na Gereza kama hili kwenye nchi zetu kwaajili ya Mafisadi... Wale ambao hawaheshimu pesa ya Umaa. Yani Kila fisadi lazima afikishwe hapa NO VIP treatment