𝐖𝐇𝐎 𝐈𝐒 𝐓𝐇𝐄 𝐅𝐀𝐓𝐇𝐄𝐑 𝐎𝐅 𝐒𝐏𝐄𝐄𝐃..?
🧵
Kimsimg katika ulimweengu wa science kuna mambo mengi sana ambayo kimsingi ndo yameleta matokeo chanya kwenye ulimwengu wa leo lakn lazima utambue kwamba msingi wa maneno..👇
@HabariDigital_ dah mbona najaribu kumuelewa lkn haeleweki...
nadhani jaman ndan ya chadema kulikuwa kunanuka kuliko kinyes cha kirabun kumamae..
watafute kaz watanzania sio daraja lao watu wakafe kwa ajil ya mafao kwel..?
@Roma_Mkatoliki big ibraa apo ni FAM tunataka sura yake halisi ya kisiasa kaz yake ni siasa tunataka aeleweke tujue kama tuna chinja au tuna ua bhas ni hayo tuu.
@iMajeshi_ hata wao hawakuoa wanawake ma bikraaa.
pili wachafu sana wale watu wanakula kondoo kuliko hata sisi wa mtaani ko wanajua wanajipalia makaa ya moto lkn hata watoto wao washasolve kesi kibao za kugongwa hovyo.
ko hicho ni kitanzi kwao.
@LL_Saint_ sio tu hit songs mzik mzur kama p square halipo hilo kundi hata msanii mmoja mmoja hayupo wizkd na davido washukur mungu wale jamaa walitengana nje na hapo nao wasingesikika.
@mshambuliaji siku zote hisia za mwanaume huwa azidanganyi sema maamuzi ya mwana ndo balaaa dah sio mbaya anaenda kuwa mali halali ya selikali.
case closed.