@SuluhuSamia Ningewezeshwaa ata mtaji nikafungua biashalaa maana na uzoefu mkubwa sana wa biashala lakin shida ni mtaji mama angu rais wangu natumain ipo sku mungu atakuonyesha post hii na mungu atatenda utanisaidia nakuombea kwa mungu insha'Allah ��� namba ya cm 0748237602
@SuluhuSamia Ongera sana mama etu rais wetu msikivu mwenye busala eshima na mpambanaji nam nazidi kukuombea mungu akulinde milele daimaa akupe nguvu uwendelee kutuongozaa tunakupenda sana rais wetu ila mama m nimwanao sema sina ata ajila mama angu ila nashukulu we nimtu ambae unajali sana 🙏
@SuluhuSamia Mweshimiwa rais wangu m naitwa Dawson gozbert anaclety napenda sana kupambana na maisha naangaika kutwa natafta ajila nakosa napambana vibalua vya apa napale vya ujenzi ili kuona kama ntaweza msaidia mama angu mzaz maana ana msaada wowote ule zaidi yangu mm ila nataman sana