wa Uadifu hasa, katika Usimamiz na Matumzi ya Rasilimali za walipa kodi wa Taifa la Tanzania.
Hivyo, tunaitaka Wizara ya mambo ya nje Kutoa Taarfa zinazoeleweka ili kuuondolea Umma wa Watanzania Mashaka juu ya hili.
2: SUALA TZ KUCHAGUA UPANDE WA VITA HII
Post Ijayo..
KIJANA HUYU NI MTANZANIA KWELI.!?
Clemence Felix Anasemekana Kuwa ni Mtanzania Aliyefariki huko Israeli. Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya nje inathibitisha Taarifa hii Kwa Dosari Nyingi zinazoibua Maswali mengi Kwa Watu.
Inahisiwa Kuna Dalili za UFISADI katika hili ama ๐๐ป
Muite GEORGE MANNEH OPPONG WEAH Miaka 57, Napenda Kumwita Mzee wa Rekodi kubwa zinazoishi na zenye kuvutia. Ni Mchezaji wa Soka wa kwanza Afrika Mwenye tuzo ya Ballon d'or, Mwanasoka wa kwanza kuwa Raisi DUNIANI, na Sasa Kawa Rais wa kwanza kukubal Kushindwa Uchaguz Nchin Liberia
BAADA YA MTU KULETA UZI WA UFANANO WA MAGUFULI NA LISSU
NALETA UFANANO WA MHESHIMIWA LISSU NA SAMIA KAMA MWAKANI LISSU ATASIMAMA KUGOMBEA DHIDI YA SAMIA
Kwanza nianze kwa Kuheshimu mamlaka Zote za Vyama vyote
CHADEMA Ni chama ambacho hakikurupuki na mgombea wao hapatikani kwa porojo za Mtandaoni, wana vikao maalumu ambavyo mgombea upatikana kwa mikutano na utaratibu maalumu ndani ya chama, hivo kutajwa kwa Lissu haina maana CHADEMA ameshapitishwa bado!
Bado Chama kinaweza kisiweke mgombea Kama Utaratibu haujafuatwa wa tume huru,
Lakin wakiamua Kwenda hivo hivo kwamba liwalo na liwe basi ngoja nifanye mlinganyo
Ila CCM wameshaanza kusema Mama hadi 2030 japo kuna jambo mtashangaa anaweza asiwe yeye mgombea 2025
UFANANO WA LISSU NA SAMIA
1. Wote Samia na Lissu ni Wanasiasa ambao hawawezi fika ukatili wa mtangulizi wao, japo Samia kuna muda anakuwa na hulka ya kutambalia kwa mtangulizi Wake
2. Wote wana amini kwenye uongozi wa ki Diplomasia, hawazitengi jumuiya za kimataifa kwa baadhi ya mambo
3. Wote wanaweza kuwa wana delegates power kwa wasaidizi wao si kila jambo wanafanya wao
4. Wote watasikiliza matakwa ya Chama Chao na Ilani
UTOFAUTI WAO
1. Lissu Ana uelewa mkubwa mno wa masuala ya sheria mbali mbali na si rahisi kumdanganya kwa jambo linalohusu sheria na utaratibu, Ila Samia yeye ni rahisi kuandikiwa karatasi akalisema bila uelewa
2. Lissu ana uthubutu wa hali ya juu kwenye maamuzi sahihi haijalishi anapingana na Nani, Ila Samia ni muoga mno ni rahisi kuendeshwa na kundi na kumgeuza linavyotaka! Mfano Kina Makamba na Nape
3. Lissu ana amini katika haki za binadamu kwa ukweli si janja janja, Ila Samia haeleweki kundi lenye Pesa anaweza badili msimamo wa kivuli chake cha kujifanya anahurumia binadamu
4. Si rahis Lissu kuuza mali za watanzania hata Kama kaahidiwa Nini, historia inaonesha tokea kipindi cha Mkapa , Ila Samia ameonekana Mara kadhaa kule loliondo na ngorongoro
5. Samia ana uelewa mkubwa wa mambo ya kimataifa, Samia hana uwezo mkubwa Kama samia,
6. Lissu hasemi kitu hadharani bila uthibitisho, Ila Samia Mara kadhaa ameingizwa Chaka na watu Wake wa karibu kuhusu mambo kadhaa mfano DP world Kwenda kenya kwa picha ya Dubai kumbe ya kitambo,
7. Lissu adui Wake mkubwa ni wanaolitafuna Taifa, Ila adui mkubwa wa Samia ni anayemkosoa yeye!
8. Lissu amelipigania Taifa na nafasi anayokuwa nayo popote ni kutokana na juhudi zake, Ila Samia ni bahati bahati hakuna juhudi amewahi onesha ikampa Credit ya kuwa awarded cheo
9.Lissu ana amini katika kutofautiana kimtizamo na mawazo hata Kama Ni mkubwa Wake wa kazi cha Muhimu njia zote ziwe za kuelekea lengo kuu, Ila Samia hata akisikia watu wana nongโona anawatimua, mfano lukuvi na Kabudi kwamba anawatoa wajipange kwa uchaguzi vema
10. Lissu si muumini wa kuwalipa watu wamsemee mtandaoni yaan hana machawa, Ila samia ana fungu maalumu la kulipa watu watetee hata uozo
Imeandaliwa na @AbroadTanzania
ONGEZA ZAKO CHINI
Wanangu wa BACK BENCHA mliopo TANESCO naomba mkate umeme huku ghana kuna JIRANI yangu ni AMPHIBIA yaani anapiga KELELE SABUFA yake afu kaweka ule WIMBO wao afu REPEATED na SAUTI adi mwisho.
Kateni umeme mara moja ili afurahi na ROHO yake.๐๐
Vyombo vya habari vya Kiebrania: Ni wapiganaji wachache sana wa Hamas waliouawa wakati wa makabiliano ya ardhini, ambao wengi wao waliuawa baada ya Jeshi la Wanaanga kuingilia kati kuokoa vikosi vya "israeli" vilivyokuwa vimezingirwa.
Waziri wa Masuala ya Diaspora wa Israel, Amichai Chikli, atoa wito wa kudondoshwa kwa bomu la Nuclear #Gaza akisema maisha ya wateka wa Israel huko sio muhimu zaidi kuliko maisha ya wanajeshi wa IDF.
Mamluki kutoka Marekani aeleza kuwa kuna idadi kubwa ya Wamarekani wameuawa Ukraine wakipigana upande wa AFU.
Takriban Wamarekani 510 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa. Matthew VanDyke alisema.
Alibainisha kuwa sio tu raia wa Marekani walikufa nchini Ukraine, lakini pia wapiganaji wengi kutoka nchi za Ulaya.
Kulingana na VanDyke, kamandi ya Kiukreni ilianzisha Counteroffensive kwa kuchelewa sana, kwa hivyo Vikosi vya Wanajeshi vya Ukrain vilijikuta vinashambulia safu za ulinzi zilizoandaliwa vizuri za Vikosi vya Wanajeshi wa Urusi.
Sasa kuna msuguano, hata jeshi la Ukraine limekubali hii. Mambo hayaendi sawa kama tulivyotarajia - mamluki alilalamika.