@freemanmbowetz wewe umekuwa mtulivu wakati w msiba na hata baada, that is the spirit of leadership. Huna mihemko kabisa. Sasa nimekuelewa. Na wala hulopoki kabisaa kama hao wengine.
@godbless_lema@HKigwangalla The worse is anasema alifanya kazi kubwa saana. Hata ukichukua darasa la nne ukampa hiyo hela pengine angefanya mara nne zaidi. Una hela zote hiz halafu unajisifu umefanya kazi? Ebooo