@kitilam Kama mnaweza kuchukua mkopo wa $2.6B for 5 yrs why asingechukua hii pesa kuboresha bandari kuliko kusign mkataba na DP World for 30 yrs?
Alafu @kitilam nchi ina 60 years of independence hamna uwezo wa kujenga viwanda vya kuchataka Samaki?
@KennedyMmari@pluto__hndrx@meddy_88 Wewe unataka kwenda place ambayo muda wote unaitwa *Kafiri* kitu kingine treatments..hao wahuni wanaona kila mtu ambaye siyod dini yao HAFAI.
@Jambotv_ Lkn maandamano ya AMANI ni HAKI kikatiba.. waandishi wa habari nao si muwe mnahoji jamani? Mnampa mic ๐ค mtu anaongea vitu ambavyo havina maana kabisa.
@MarekaMalili Kama nchi imefikia hapa, basi nchi haina kiongozi. Hawa watu wanaweza kupenda zaidi madaraka na wakaamua kuwang'oa viongozi. Makundi ya rebels yalianza kama hivi.
@swahilitimes Yani ukiwa Boya kichwani huwezi kumuelewa msela... jamaa kaamua kutumia akili yake vizuri sana kuongelea siasa.. very smart brain ๐ง ๐
@JamiiForums It's a shame kuona Waziri kabisa na mtalaamu wa sheria hajui na hana uelewa kwamba taarifa ambazo zipo kwenye NIDA ni taarifa public. ๐๐