🤣🤣🤣hua anasikika kichaa mmoja kutoka kusini x wa mtoto wa masanja akisema ''konde gang 4 evr body'' mara county aka left,anjela akaleft,kili aka left,chidi akaleft..sasaivi anasema ni jeshi la mtu mbili....endelea kukohoa moshi wa bangi utoke kichwani labda utaweza majukum
Unajua ZUHURA kaokota dodo chini ya muarobain🙄🙄 na akiachwaa atakufaaa🤔 sipati picha anavyo jituma kwabidii on the bed,ila usijetoa kichwilii dini hairuhusuu
Kiukweli huyu jamaa ameumiza mioyo ya mashabk zake watanzania kiujumla walikua wanamtarajia afke mbali na afanye makubwa ila ndio hvyo kardhka na hela anazopata kasahau kua ana matumain ya wa tz mabegan very shame