@Ndera_Wirtz Du kwa hiyo unataka tuaminisha waliohudhulia tamasha ni wapinzani? sitaki kuamini hili mana Ccm ndo tuko karibu sana na wasanii na nilitegemea sisi ndo tungekuwa wengi mle ndani.
@Kiganyi_@HildaNewton21 Washenzi sana ,wanashindwa kudai Kodi ambazo Cag anaonyesha Kila siku na nikodi zetu Leo wanapiga kelele pesa ambazo Kila anaechanga anajua lengo ni kum support Heche.
@baraka_asege Haihitaji akili kubwa ,hiYo tata ni Musoma to Serengeti 130 km,Sasa bus kubwa la kazi gani? mbona hujasema hamna tata njia ya Dar- Mwanza au Musoma - Dar?jibu ni distance kuiweka bus km 130 ni hasara.
@baraka_asege Hii ndo technic ya kutumia, hata we ukipata break down sehemu hatarishi park katikati ili wasiweze pita ,hapo utapata usaidizi ki rahisi.