Baada ya Mwezi mmoja kipi kinafata kaka??
Walioporwa uhai, Roho zao zitarejea, Haki juu yao itapatikana.
Ama tayari tutakuwa na Taifa linalozingatia Msingi wa uongozi wa Haki???
Enewei sikupangii AYUBU 👊🏾
Enzi izo kuna watu umu ukifanya kitu kidogo basi wanakuomba LOCATION cha ajabu WANETU kipindi NET imezimwa hao watu tukawa tunawaomba location WAKAGOMA tena kubwa zaidi wakatupiga BLOKU.
Nina T shirt nyingi sana chambuu, ukichukua moja 20K kuanzia mbili utapata kwa 18K
☎️ 0623533526
Location Mabibo Mwembeni
Kibingwa naomba Repost yako hapa 👊
T shirt chambuu ni zile ambazo zinatoka moja moja huwezi kutana na mtu kavaa mfano kama hii niliyo ivaa shida yake nyingi huwa na chata ila kama mnyamwezi huwa ni nzuri sana. Pia zipo T shirt za kawaida ambazo hazina mambo mengi kwa wakaka na wadada. Karibuni