@Brother_0101 1.Nyakati by goodluck gozbert huu wimbo ni likua napigania uhai pale muhimbili wimbo huu ulikua faraja sana kwangu nilikua nimeweka repeat one kwa sauti ya chini kila siku nilizoishi pale hospital goodluck mungu amtunze sana hata yeye kwa ss anapitia magumu asikilize wimbo huu