@MickyJnr__ I'm not happy with this. Kipre Jr is the best winger in Tanzania PL. There's no one like him in the league. How comes Azam sell him and expect to reach far in CAF CL? No. Azam are not serious
@Exquisite_255 Jana nimemsikia mmoja anaambiwa 'lia kwa sauti'. Yaani kama wako behind the scene wanapewa maelekezo. Kumbe si kila anayepiga kelele ana mapepo. Wengine huambiwa kwa maslahi ya viongozi wao wa dini
Ukiona unatumia nguvu, muda mwingi, pesa nyingi na maneno mengi kumfanya akuelewe; jua kwamba HAKUPENDI. Hataki tu kusema hilo kuzuia kukutegua moyo lakini ukinzani wake unanena kwa sauti kubwa ambayo kwa bahati mbaya, huwezi kuisikia maana upofu wa mapenzi huathiri masikio pia