@HopeTonito@Makaveli_255 Nilitaka kumuuliza hilo swali.
Nchi zote za Ulaya, Asia, na kwingineko saizi ni baridi la kufa mtu hadi Feb, ni kipindi ambacho wanakuja Africa hasa kwetu sababu huku ni high season.
***Don't talk while eating***
@RonaldOkoth__@RealPinchez The truth is that it's a very corrupt country and all that you see and think it's development it's MONEY laundering.
Most teams are under government officials say KMC, SINGINDA (2 teams) and those with district Council names etc.
Time will come it will be like DRC league
@yusuphiddy20@amprincess9@TricyDagaa_ Unajielezea sana. Tafuta hela dogo.
Unwanted kwako might be wanted kwa huyo kwenye picha au kwa yoyote. Punguza tantalila๐ฅธ
@moshi34@salymdev around km 14-16 per litre. Kwa mara ya kwanza nilichukua IST ya mshikaji nikaweka full tank.
From Dar to Chalinze kupitia Bagamoyo go & return hata nusu tank haikufika niliumia sana maana nilikuta mshale uko kwenye empty.
Mshikaji alifurahi sana kuku zaidi ya nusu tank
@MaxTz255_ @sisuthegreat Nchi za Waarabu zina asili ya mchanga na vumbi na kipupwe a.k.a deserts hivyo hayo mavazi yalikuwa inverted kuwa keep safe.
Sasa kutana na waAfrika wanayachakulia kama vazi la kidini.
Hakuna vumbi wala nini unakuta dem kavaa kininja anajipa tabu tu.