Chunya kuna Jamaa alienda Tanesco kuwaambia anataka umeme uende mpaka kwake Porini...Tanesco wakaja na Tathmini ya 800M..Jamaa akaomba acc number akatia mzigo.Meneja akabaki mdomo waziπ³π
Pundamilia anavutia sana lakini anaishi porini, watu wanaenda kumtazama na kuondoka. Lakini Punda hufugwa Nyumbani na anasaidia Kazi.
Hivyohivyo kwa hawa, unatumia unaondoka zako. hawa ni Pundamilia.
SANCHI Alirejea Kua MUISLAM Haswa
POSHY QEEN Aliolewa Na Akazalishwa
Now Wote Wamerejea Kwenye Default Setting
Sababu
Wanawake Wazuri Wana Changamoto Moja Kubwa Yakuwavutia Wanaume Wengi Ndio Maana Hawawezi Kudumu Kwenye Ndoa.
Bila Kumsahau MALAIKA EX Wife Wa RICARDO MOMO
Kama Una Kipato cha Kawaida nadhani saivi kuna Suppliers wengi wa Unlimited data Access. Unachagua Kasi tu Unayohitaji. Sio Muda wa Kulalamika Bando kuisha.
Mmengalia settings za hizo Smartphone zenu kwanza, au mnalialia tu mmeibiwa bando. π€
Isijekuwa Apps Updates umeziweka on auto-download with bundle na sio Wi-Fi, so bando linatumika hata ukiwa hautumii simu, unakuja kulalamika umeibiwa!
Yes, it is true kuwa gharama za internet zipo juu (especially ukizingatia kuwa it is a utility now) ila bado kuna baadhi ya issues ni sisi wenyewe; hasa ukizingatia kuwa Internet in Tanzania sio as expensive compared to some of our neighbors.
Just Saying π€·πΎββοΈ
@BillyTronix1 Nimefuatilia. Nikaona kwenye quality ni kweli kabisa, TCL walizingua.
Ukiangalia Qled ya Samsung ina zile quantum Dots kiuhalisia kabisa.