MAMA yako anaweza kukwambia mabaya ya BABA yako ila kamwe BABA yako hawezi kukwambia mabaya ya MAMA yako, unajua kwanini?
Akikwambia mabaya ya MAMA yako ni sawa na kukwambia alikosea KUOA.
“Ukitaka kuanzisha biashara jitahidi uwe na hela nje ya mtaji inayoweza kukufanya kuishi miezi 6 hadi mwaka hatakama hutopata mteja hata mmoja kipindi hicho chote.”
- BARAKA MAVIATU
Mnataka kuturudishia wabunge waliomuondoa spika wao kwa kukemea mwenendo wa ukopaji nchini?
Hiyo sababu pekee inatosha kuwapumzisha CCM na mwenyekiti wao asiependa kukosolewa.
M/kiti wa CCM TAIFA ndio RAISI wa JMT na kiongozi mkuu wa serikali.
Bunge la CCM linakazi ya kuisimamia serikali ambayo boss wake ni Boss wa CCM na kimsingi ni boss wa wabunge wote wa CCM.
Mpumbavu pekee ndiye anaeweza kuamini Bunge la aina hiyo inaweza kuidhibiti serikali.
The only leverage ambayo Lissu anajua anayo against serikali ni MISIMAMO YAKE.
Akitoka SERIKALI ijiandae, wewe una-bifu na fundi wako wa nguo, Lissu ana-bifu na SERIKALI ya JMT kwa kutotimiza wajibu waliopewa na wananchi.
Kati ya wanasiasa wachache ambao HANUNULIKI na HANA BEI.