Yaani mnaita watu kwenye interview kwa ajili ya kusimamia uchaguzi na bado nafasi mnawawapa walimu sasa mmetupotezea hela zetu za nini? Si mngewapa tu bila kitangaza..
Samia nitamchukia hadi nakufa.

Form six sasahivi wanafaulu karibia wote sasa wooote wakienda chuo wataajiriwa wapi 🤣
Maana elimu yetu inawaanda vijana kuajiliwa.. kwa ufaulu huu tunaanda maskin wengi saana katika taifa...