KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAENDELEO YA VIJANA: KUWEKA MSINGI MPYA WA MUSTAKABALI WA VIJANA TANZANIA
Katika kipindi ambacho dunia inashuhudia mabadiliko makubwa ya kijamii, kiuchumi na kiteknolojia, vijana wameendelea kuwa kundi lenye nguvu kubwa lakini pia lenye changamoto nyingi. Kwa kutambua umuhimu huo, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana imeandaa Kikao Kazi cha Maafisa Maendeleo ya Vijana wa Mikoa na Halmashauri, kinachofanyika tarehe 17–18 Disemba 2025 katika Ukumbi wa Kambarage, Treasury Square.Dodoma
Kikao hiki kimewakutanisha Maafisa Maendeleo ya Vijana kutoka ngazi mbalimbali kwa lengo la kutafakari kwa kina hali ya vijana nchini, nafasi zao katika maendeleo ya taifa, changamoto wanazokutana nazo pamoja na hatua za kimkakati zinazopaswa kuchukuliwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa silaha za jadi Mkuki kutoka kwa Mzee Ndijina Ndilanza Ndilito, mwakilishi wa wazee wa Tanzania Bara pamoja na ngao kutoka kwa Bi. Ubwa Hamis Ally mwakilishi wa Wazee wa Zanzibar kama ishara ya kulinda na kuitetea Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kuapishwa katika uwanja wa Gwaride, Chamwino Ikulu mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba, 2025.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, George Mcheche Masaju kuwa Rais wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Gwaride Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Taifa mara baada ya kuapishwa katika sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Gwaride Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba, 2025.
Huduma hii ya msaada wa kisheria inapatikana TANZANIA nzima bureee Kabsa ili kusaidia watu wenye uhitaji wa msaada wa kisheria elimu hii inatolewa mashule pia ili kusaidia walimu na wanafunzi juu ya ukatili wa kijinsia hongera sana Mh Rais DKT SSH KAZI mzuri tunaiona
#ssh#mslac

@sisiniTanzania Watanzania tunapaswa kujivuni UTALII WETU ambao pamoja na Rasilimali zetu nyingi na nzuri lakn AMANI NA UTULIVU wa nchi yetu ni kielelezo cha kupanda Kwa utalii nchini hongera sana Mh Rais DKT SSH KAZI mzuri tunaiona AMANI YETU UCHUMI WETU
#ssh#matokeochanya#sisinitanzania