Kwa hiki kilicho fanyika sio kwamba watu wataingiwa na uoga au ubaridi, Bali wanakua wakakamavu na mioyo sugu, watakua watu wasio na maumivu na wasio na chochote kile Cha kupoteza , endapo wasipo pata relief, wasipo pata faraja , mioyo itakua sugu
The ยฃ2 Billion Mark in Kenya UK Trade confirms that the UK remains one of Kenyaโs strongest international markets, but it also shows that Kenya has successfully positioned itself as a reliable agricultural and investment partner. #ThePlanIsWorking
Everything is temporary in this world,hakuna mwanadamu ataishi milele ,sisi sote tutakufa,tutaacha Kila kitu,tulikuja dunian bila kitu na tutaondoka bila kitu,
Dear God, thank you for this new day and for your constant presence in my life.
Grant that I may walk in your peace and wisdom, letting my thoughts and actions be guided by your will and love.
Amen
Huyu kijana mdogo ametekwa na kupotezwa Soka alijua na akasema na bado serikali ya Rais @SuluhuSamia ikapuuza na leo Soka hayupo.
Sio kweli kwamba tutanyamaza kwasababu ya kutekwa na kupotezwa, kelele itazidi kuwa kubwa.
Iko siku wote mnaofanya haya mtasema mbele ya Watanzania kwanini mlifanya uovu huu kwa binadamu wenzetu.