Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu,nitalishukuru jina lako kwa ajil ya fadhili zako na uaminifu wako kwa maana umeikuza ahadi yako kuliko jina lako lote🙏🙏
Nawatakia Watanzania wote sherehe njema za Eid El Fitr. Tusherehekee kwa amani na utulivu huku tukiyakumbuka na kuyaenzi mafunzo mema ya Mtume wetu (SAW) na yote tuliyojifunza wakati wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu awe nasi daima, Inshaallah.
Eid Mubarak.
@Roma_Mkatoliki Namtafuta mshikaj wang wa kitambo sana Joseph respiqus nmeish nae mwanza mtaa wa kabuhoro kwa mzee khalfan nackia ni daktari yupo moshi