Msikilize kwa makini profesa Janabi 👨⚕️🎓 ili ufahamu namna figo zinavyoharibiwa na presha 💔,sukari 🍬 na dawa za maumivu 💊⚠️
Msisahau kupima H pylori 🦠,brusela 🧫 na dundumio 🫁😷 Haya matatizo ni balaa jipya mjini 😨⚠️🔥
#doktamathew 🩺 #fypシ゚ ✨ #highlights 🌟 #fypシ゚viralシ 🚀
#HABARI Wananchi wa vijiji vya Tsawa na Tipri kata ya Gehandu wilaya ya Mbulu mkoani Manyara wamefurahishwa na kukamilika kwa daraja lililojengwa na kwamba baada ya kuteseka kwa miaka mingi na kusababisha kuwa na changamoto ya kukosa kivuko na kusimamisha kuendelea na shughuli za kiuchumi nyakati za mvua.
Daraja hilo ambalo limegharimu Milioni 158 na lenye uwezo wa kubeba Tani 2.4 na linatarajiwa kudumu kwa miaka 70 limezinduliwa na mkimbiza Mwenge kitaifa Ali Ussi Leo Julai 16, ambapo daraja hilo linatajwa litasaidia wanafunzi wa maeneo hayo kupita kwenda shuleni nyakati zote pamoja na wagonjwa kufikishwa kwenye huduma za Afya kwa wakati. #EastAfricaTV
Balozi wa Tanzania Nchini Cuba, Humphrey Polepole, katika kipindi chake cha #ShuleYaUongozi Septemba 11, 2021, alizungumzia Watu wanaosema hawapendi Siasa akisema Siasa ndio inaamua maisha. Aliongeza kuwa Raia yoyote anayewajibika lazima aulize maswali kuhusu mambo yanayofanywa na Serikali
Zaidi https://t.co/jLa00uFKPf
#JamiiForums #JamiiAfrica #Kuelekea2025 #Demokrasia #Democracy #Uwajibikaji #Accountability #Transparency
Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican.
Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic.
Vatican wana jeshi lao special linaitwa Swiss Guards
Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia Italy.
Rais wa Italia, Bwana Sergio Mattarella hana mamlaka katika serikali ya Vatican, ila Papa ana mamlaka makubwa katika serikali ya Italia.
Mtu wa Vatican anahesabika ni Muitaliano pia, ila Muitaliano haesabiki kama Mvatican.
UNAJUA NI KWANINI? ENDELEA NA UZI KISHA NIKUPE MKASA WA VITA VYA ROMA KUZALIWA VATICAN 🧵👇
Huu ndio mkataba unaomtesa Congo DR dhidi ya Rwanda na wakulimaliza hili ni Congo DR mwenyewe.
Mapema usiku wa tarehe 16/3/1996 viongozi wa Rwanda, Uganda, Sudani kusini na Ethiopia pamoja na kiongozi wa AFDL Laulent kabila walisaini “Makubaliano ya mkataba wa Lemera”.
Mkataba huu ulikuwa na shabaha ya kuigawa nchi hiyo kubwa mikononi mwa Marekani kupitia usimamizi wa Rwanda, Uganda, Sudani kusini na Ethiopia, huku Kenya na Tanzania wakiwa ndio wenyeviti wa kuinjinia mkataba huo wa lemela.
Japo baadae Tanzania ilijitoa kuunga mkono kuigawanya Kongo baadala yake ikaunga mkono msimamo wa Laurent Kabila katika kukataa kuutekeleza mkataba wa lemela, ambao kupitia mkataba huo ilizalishwa operation maalum iliyoitwa "Operation Banyamrenge".
Operation hii ililenga kumuondosha madarakani Mobutu, kiongozi wa muda mrefu wa Kongo na kibaraka wa Marekani ambao mpaka kipindi hicho walikuwa tayari wamemchoka kutokana na mabadiriko ya siasa za dunia.
Katika Makubaliano hayo yalio fanywa kati ya Laurent Desire Kabila na mataifa hayo huku Kabila akiwa kama kiongozi wa chama cha “kuikomboa Kongo” aliyekuwa akitaka kuondosha utawala wa dikteta Mobutu Sese Seko alipewa masharti ambayo yalianishwa kwenye mkataba wa Lemera.
Ambapo moja ya masharti ilikuwa ni kishirikina na wapiganaji wa Kinyarwanda kutoka Rwanda, Uganda na watutsi walio kuwa na makazi mashariki mwa Kongo, na baadae ya mapigano atoe sehemu ya ardhi mashariki mwa Kongo kama shukrani kwa Rwanda na Uganda huku akiruhusu usalama wa taifa hilo kuwa mikononi mwao.
Makubaliano hayo yalifanyika kwenye vilima vya Lemera vilivyoko Kivu ya Kusini katika mji wa Uvira na kujulikana kwa jina hilo, la "mkataba wa lemera" makubaliano hayo yalitaka Kabila, baada ya kuwa rais wa Kongo, aruhusu mikoa miwili ya Kivu Kaskazini na Kusini kuwa makazi ya Wanyarwanda wa kabila la Kitutsi.
Pole kwa familia Ya Marehemu, Pole kwa TRA lakini pole kwa watanzania wote kwa ujumla. Tuna hasira tuna hofu na tumekosa imani na vyombo vya usalama mwisho wa siku tunauwana wenyewe kwa wenyewe. Ni muda wa kukaa chini na kujua ni nani adui yetu ili tudeal na huyo.
Tumempoteza Mwenzetu watekaji haitawagusa hii wala haitawaogopesha wataendelea kwa sababu tumefeli tena kujilinda.
Mwenyezi Mungu atuongoze kwenye Mapambano yetu. 🙏🏾💯