🇹🇿Tanzania is about to finalize one of the largest energy deals in African history.
Equinor, ExxonMobil, and Shell are meeting in Dar es Salaam this week for the final round of negotiations on a $42 billion LNG project.
The hard part is already done... Commercial terms agreed and Tax framework settled.
What's left is turning the handshake into legally binding contracts.
💡Tanzania sits on massive offshore natural gas reserves that have been waiting for development for over a decade.
This project would build the infrastructure to liquefy that gas and export it globally creating one of Africa's largest LNG export hubs.
Right now the world is desperately hunting for LNG supply outside the Gulf(Qatar mainly)
Tanzania is about to enter that market with $42 billion of committed infrastructure and 3 of the most credible operators on earth behind it.
Another node on the new energy map and one that bypasses Hormuz entirely.
20 Trillion dollars wasted. 4 million people kiIIed. 40 million people displaced. All on lies. Now those same liars are telling you we must obey lsraeI, fight Iran, loot Venezuela, and destroy Palestine. Don’t buy it. https://t.co/o9iSRTPgm3
🚨🇵🇸 Journalists in northern Gaza address the world directly: “The israeli law to hang Palestinians to their death is worse than Nazis.”
If you see this video, please repost for awareness.
On this Women’s Day, I honor Iranian women; the fearless warriors standing tall against American and Israeli aggression and showing us what true bravery looks like.
They want you to believe that Iranian clerics are some Christian hating barbarians. Quite the opposite. This is Ayatollah Arafi, cleric, jurist & philosopher, presenting a gift to Pope Francis at the Vatican in 2022.
(File Photo: Vatican Media via Reuters)
Kheri ya Miaka 64 ya Uhuru wa nchi yetu.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa hatua hii kubwa. Tunapoadhimisha siku hii muhimu, tukumbushane umuhimu wa kuendelea kulinda tunu za Taifa letu za amani, umoja na mshikamano. Tunu hizi ndizo msingi wa mafanikio ya safari yetu ambayo ni mfano wa kipekee Afrika na dunia kwa ujumla.
Matunda ya Uhuru wetu yanaendelea kudhihirika katika uwezo wetu wa kuamua, kupanga na kutekeleza mipango yenye manufaa kwa wananchi na yenye kulinda maslahi ya Taifa letu. Haya ndiyo matunda ambayo waasisi wa Taifa letu waliyapigania na ambayo daima tutayalinda.
Tuufurahie, tujivunie, tuulinde na tuuthamini Uhuru wetu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Ninawashukuru wanachama wenzangu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wote wa Dodoma kwa mapokezi makubwa katika ofisi za chama, baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wakati utakapofika, tutakuja kwa wananchi kuzungumza nanyi na kuwaeleza yale tuliyofanya na tutakayofanya kwa miaka mitano ijayo, ili kuomba ridhaa ya kuendelea kuongoza nchi yetu. Wito wangu kwenu, tuendelee kudumisha amani, umoja na mshikamano ili tuhakikishe ushindi wa kishindo kwa chama chetu na kuendelea kuwatumikia vyema wananchi kama yalivyo matarajio yao.
Kazi na Utu. Tunasonga Mbele.
Leo ni siku nyingine kubwa na ya kihistoria kwa nchi yetu ambapo tumezindua kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji madini ya urani mkoani Ruvuma, mradi ambao tumeusubiri kwa miaka mingi. Hatua hii ni utekelezaji wa mikakati tuliyoweka kuhakikisha rasilimali tulizo nazo zinawanufaisha wananchi na kuchochea maendeleo ya nchi yetu.
Mradi huu una manufaa mengi yakiwemo ajira, mapato kwa serikali, uzalishaji umeme, kukuza sekta nyingine na kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia kama moja ya wazalishaji 10 wakubwa zaidi wa urani duniani. Pia, utaiwezesha nchi yetu kufikia lengo la kuwa nchi yenye uchumi wa kati ngazi ya juu unaojitegemea.
Mwongozo wangu kwa mwekezaji na wasimamizi wa sekta hii ni kuhakikisha kuna ushirikishwaji wa wazawa na wajibu wa kampuni kwa jamii unazingatiwa. Kipaumbele cha ajira kiwe kwa wananchi wanaoishi karibu na mradi, ili waone manufaa ya mradi huu kwenye eneo lao.
@AbroadTanzania Mzayuni alizania Waajemi ni Kama Palestina, amekolezwa akaanza kuficha picha za matukio na şaşa wanatishia kurusha nuclear ☢️ 🤣🤣. Narudia mpaka hii vita iishe kwa mara ya kwanza Kwenye historia ya dunia TEL AVIV itafanana na Gaza. Hapo ndipo mzayuni atajifunza kuchagua ugomvi.
@AbroadTanzania Hii vita wanaotungua makombora ya Irani ni wamarekani walio israel kwanzia iron dom na THAAD inaendeshwa Kwa usaidizi wa marekani kwenye defense. Marekani inashiriki vyema Kwenye upande wa kutoa intelligence ikishirikiana na uingereza, hajashiriki kwenye kushamburia tu.