Senior Research Officer - National Institute For Medical Research (Tanzania), Consultant Clinical Epidemiologist and Honorary Lecturer - CUHAS (Tanzania)
Kuomba uongozi wa kisiasa sio kutafuta mali, ajira au kipato zaidi, bali ni kuomba dhamana kutoka kwa mwananchi mwenyewe ili uwatumikie kuleta ustawi wa kiuchumi na kijamii. Ukipokea rushwa kutoka kwa mgombea ili umchague, basi umeuza haki yako ya msingi ya kupata kiongozi bora