I believe we still has a housing problem in Kenya, not mean that the AFH will solve it.
A new apartment kabla iishe hata finishes unapata ishachukuliwa yote.
Kupata vacant house pia ni noma sana.
Nilisikia kazi za government ni kungโangโana tu upate. Bora ushaingiza kichwa wewe ni hivo. Hakuna kazi unafanya, unashinda tu kwa nyumba na kupokea per diem. Kama ni ukweli ongeza yako yenye umesikia.