KABLA HAMJAWEKA AGANO, NG'AMUA HILI.
Kuna mtu mmoja aliniuliza, "Wanandoa hula kiapo au hufanya Agano?"
Jibu langu ni kwamba:
Soma Zaidi.. https://t.co/lcrKqigiLQ
πͺ Life lessons have made me realize that every step is a blessing. When you input another year, you thank God. βοΈ
π Ahsante eeh Mungu, kusudi lako litimie sawasawa na mapenzi yako.
+1ππ
Mthamini sana yule mtu ambaye anakuoenda na kukujali licha kutambua kuwa wewe ni dhaifu.
Kuliko kuzimikia kwa mtu ambaye, anakukwepa na kukukimbia kwa sababu wewe ni dhaifu.
Ipo siku utamtafuta, na utamkosa kwa sababu kuna mdhaifu aliona thamani yake.
#upendo#love#uhusiano
If it's yours, there's no need to chase it. We chase it because it's not ours.
Na ridhiki kama si yako, si yako hata ukiivutia subra kiasi gani, haiwezi kuja.
Wakati mwingine hatuna budi kukata tamaa ili kuyafanya mambo yaende sawa.
Hakuna mwashi anaweza kulitupa tofali zuri, hata kama lina upungufu basi atalifanya lijenge hata kipande.
Rafiki, usikimbilie kuokota tofali lilitotupwa kujengea nyumba ya kuishi, nyumba itakuangukia.
@VeronicaEvord1 Mimi sikuwahi kuwa suspended, ila kuna manzi mmoja alikuwa demu wangu. Sasa darasa moja wivu kibao, nikamzingua akaenda kusema kwa mwalim, yule mwalim akaamuru yule demu anichape fimbo. π
Girl, don't beat your chest shouting and convincing society that you've managed to take care of yourself, while silencing pregnancies by aborting or eliminating them. βπΎ