๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐โฝ๏ธ Ni Mchezaji bora wa Mchezo kati YANGA vs COASTAL.
Credit ๐ฅ @azamtvsports
Stats @sokametrics
MABINGWA WA LIGI - Toka mwaka 1965. Nimegusia timu zilizobeba Ubingwa MARA TANO mfululizo. ๐๐๐๐๐
___ Katika Historia YANGA na SIMBA ndiyo timu pekee ambazo zimebeba Ubingwa wa Ligi Mara Tano mfululizo.
Ifaham timu ya kwanza kubeba Ubingwa Mara Tano Mfululizo.
#CAFCC: โSimba iliingia katika mpango kazi wa kutafuta bao la mapemaโ maneno ya mchambuzi wa soka @deotraphe akiichambua mechi ya jana ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kati ya Mnyama dhidi ya Al Masry.
Simba imetinga hatua ya nusu fainali kwa mikwaju ya penati baada ya matokeo ya jumla kuwa ni 2-2
(Imeandikwa na @allymuftiTZ )
#CAFConfederationCup #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #SimbaSC #AlMasry #SimbaAlMasry #HiiTunavuka
Bao la pili la @simbasctanzania limefungwa na Steven Mukwala mchezo wa dhidi ya Al Masry. Hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho.
DK 50' | SIMBA SC 2-0 AL MASRY ( Agg. 2-2 )
Bao la pili la @simbasctanzania limefungwa na Steven Mukwala mchezo wa dhidi ya Al Masry. Hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho.
DK 50' | SIMBA SC 2-0 AL MASRY ( Agg. 2-2 )
@JumaAyoo Kaka umezungumza vizuri sana mtu akikuona anaona rahisi, una bahati, huna uwezo yaani anahisi nafasi yako angekaa yeye.. ๐ช๐
Wakaze sio rahisi hivo
Cristiano Ronaldo amefunga mabao mawili dhidi ya Al Hilalโฆ na sasa amefikisha mabao 931 katika maisha yake ya soka hadi sasa! โจ๐ต๐น
___ Bado mabao 69 kufikisha mabao 1000. โณ๏ธ๐
Mchezo wa mpira miguu una KANUNI moja ngumu mnoo. Nayo inasema hivi TIMU ISIYOFUNGA BASI ITAFUNGWA. ๐
___ SIMBA WAMEFANYA KILA KITU UWANJANI LAKINI WAKASAHAU KUFUNGA - AL MASRY WAMEFUNGA.
FULL TIME | AL MASRY 2-0 SIMBA SC