Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, amesema anaunga kikamilifu mkono uchunguzi huru wa Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu mauaji na vurugu vinavyohusiana na uchaguzi wa Tanzania.
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
HIZI NDIO SABABU ZA SISI WANANCHI KUANDAMANA 29.10.
Tunataka kukomboa hili TAIFA kwa manufaa ya wananchi.
Tunataka Walioporwa HAKI ZAO—warejeshewe HAKI ZAO.
TUTAIJENGA TANZANIA MPYA.
HII NDIO TANZANIA TUNAYOITAKA GEN—Z
REPOST 500
#OKTOBATUNATOKA#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Hili taifa litakombolewa 29.10.
Tutakuwa na Tanzania mpya ambayo itazingatia HAKI kwanza. HAKI ndio italeta AMANI & UPENDO.
GEN Z tumepewa hii nafasi haiji kutokea tena. Kila mtu awajibike kwa nafasi yake tutashinda.
Sababu za KUANDAMANA kuidai Tanzania mpya TUNAZO.
Uwezo wa kuandama kuidai Tanzania mpya TUNAO.
Uzuri ni kwamba Sisi tupo Wengi kuliko wao. Namba haidanganyi.
REPOST 200
#SiriNiNamba
#OKTOBATUNATOKA
#TUPOWENGI
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 3
Anaendele Mhe. Lissu
Kesi iliahirishwa 15/07 na siku hiyo kulikuwa na ugomvi kuhusu kuahirisha kuanzia page 53 to 60.
Hii siku pia aliandika a reasoned ruling kwneye page 68 to 73 na hiyo ikawa mara ya tatu kwa Hakimu kutoa sababu za msingi za kuahirisha kesi.
Waheshimiwa majaji tar. 30/07 kesi ilikuja na ugomvi wa kuahirisha ukawepo tena mkubwa.
Mtaiona hiyo kwenye page 74-79.
Maneno ya Hakimu kwenye page 79 yanasema "uamuzi kwamba hii kesi ifutwe au vipi tutaitoa tar. 13 August" je hiyo ndio reasonable cause ya kuahirisha kesi?
Hapa napo hakukuwa na sababu za kuahirisha kesi.
Ilipofika hiyo Tar. 13 August wakasema tuahirishe tena na hakimu aliwakubalia bila kutoa sababu.
Hayo yapo ukurasa wa 80 na 85. Kulikuwa na rival submission pale mahakama ya Kisutu.
Kwamba mashauri haya yataoneshwa mtandaoni au la yataamuliwa tarehe nyingine.
Sasa hii nayo ni sababu kweli ya kuahirisha kesi?
Suala la adjournment akaliacha hakulisemea.
Hizo adjournment ambazo zilikuwa granted unlawful, in blantant controversial of sec. 265.
Kila walipoahirisha I paid the price ya kurudishwa gerezani ya kwenda kufungwa na watu waliohukumiwa kifo.
Mtaona kwenye rekodi kuwa niliilalamikia sana inakuwaje mahabusu anachanganywa na condemned prisoner.
So kila walipoahirishwa nilirudishwa kwenda kuchanganywa na wanaosubiri kifo kule magerezani.
Mh. Lissu anaendelea.
Leo amepiga Kombati ya Chama mikono mifupi.
Leo anafuraha jana ni kama alikuwa amekasirika sana.🤣🤣🤣
Maaskari wa Magereza nao wameacha kujifunga usoni.
Leo nawaona wawili tu waliojificha sura. 🤣
Wengine wote tunawaona uso kwa macho.
Sasa tuendelee.
Siku 131 nilikaa hadi siku niliyosomewa commitall ndio maana nilimwanbia asije akawa kama Jaji aliyemuhukumu Jomo Kenyata. Asije akafanana nae.
Jambo lingine dogo linachekesha.
Kwenye rekodi mliyonipa hapa Hakimu Franco Kiswaga page 74 kunaonekana kulikuwa na mashauri tar. 31/07 sasa hiyo tarehe hakukuwa na mashauri yoyote.
Nenda kwenye ukurasa wa 81 hadi 85 kuna submissions. Zilipoanzia ni Tar. 13/August lakini ukweli ni kwamba zilifanyika tarehe 18 August.
Mambo ya Tarehe 18/08 yeye ameandika kuwa yalifanyika tarehe 13/08 sasa natamani kusema kuwa haya yalikuwa ni makosa ya kibinadamu lakini kwa namna yalivyoenda pale kisutu nasema huu nao ulikuwa ni mwendelezo wa uhuni uliofanyika pale Kisutu.
It is not accidentall it is deliberate fabrication.
Part 4 itaendele post inayofuata.
Naomba repost yako kwenye tweet hii.