@BracuszCadabra We all Know kwamba when it comes to Messi na Ronaldo Issues huwa tunachambua mambo kwa hisia na sio uhalisia achana na hiyo ya salah kuna tukio la fathy kuvutwa jersey na mac allister ilikuwa clear foul then Goal la zico lilikataliwa bila sababu za msingi.
@bonifacejoseph_ Acha Kutupanga Chambuz Bony Ronaldo ndo kaiweka Portugal Kwenye Ramani Ya Soka na Ushindani Ni Kweli Final ya Uero alitoka Dk Ya Nane ila Yeye ndo aliifikisha hapo Final Lakini Pia Kwenye Hayo Makombe matatu Kombe la Mwisho Kwenye Final Alifunga Goal Piaa.
@George_Ambangil Kwanini EL BOMBA Asipige pass kwa Faza apige back pass tuu wakat huku matofali ya kuchoma kina Zirkzee wanawekewa sanaa wakose wenyewe tuu😅
@joel_beatus@77_bamba@prolific_88 Joao felix angeanza kwa Neto
Conceincao angeanza kwa Bernado
Then Yule Beki kama askari wa india Renato Veiga amna kitu angeanza Dias au Goncalo inacio