@bedjosessien Yes, absolutely. I can say at least some did much than England, the likes of CV and Egypt dd something than just sitting back as England did the most of time.
@EsirEid Hii taarifa ina pande mbili, moja ya ukweli na nyingine ya uongo.
FFF walikata rufaa wakitaka kadi ifutwe, Fifa wamekataa. Ila hiyo kadi haimzuii kucheza leo.
@HabiibYahyaa Yanga wamecheza game jana Mwanza na leo wako Dar wakijiandaa kwa safari ya Zanzibar kwa mechi ya keshokutwa dhidi ya Azam fc. Hali ni hiyo kwa Azam fc pia.
Hao huko wanacheza game moja kila baada ya siku 7 na wako Marekani ambako kuna kila aina ya facility.