Kwani mliooana huwa mnaenda kufanya shopping bila kuwa na makubaliano kabla.
Unakuta mtu na mke wake wapo dukani ni mwendo wa kufokeana, kununiana, et mmoja anafosi kununua nguo mwenzake hajaipenda.
Kama hamuwezi kwenda pamoja sikila mmoja aende kivyake tu.
Mnakwama sana.
Najua chuki zenu dhidi ya Uislamu ni kubwa, lakini msisambaze uongo! Hawa wanandoa waliobusiana Makka hawajawahi kunyongwa kwa tukio hilo. Picha hiyo haihusiani na hukumu ya raia wa Bangladesh. Acheni uzushi, chuki na upotoshaji. Kukosoa ni haki, lakini kuzusha ni upumbavu!
Inamaana hadi sasa watu hawana fikra chanya, kuhusu katiba mpya?.
Makontena yote yaliyograduate vyuo toka 2015-2026 hayajui, hata Kung'amua kuhusu faida za katiba mpya ?.
Hii nayo, iwe case study to discuss?๐
Hapa mangi kwenye safari ya mkoa ameishia wilayani๐
Nina uzoef mzri na.
Garage
.changmoto za waya na sehem kidog kwa upand wa engine
Biashar ya dagaa
.changmoto zake sehem nzuri ya kupat mzigo na kuuza
Accessories
.bei za jmla na machmbo
Uchmbaji
.sio sana but ntaiwin one day
Ok ukija DM akkisha uzoef wak ni more than 10 works
Ubora na tofauti ya mtume SWA na mitume weng
1; alitumwa kwa ulimwengu mzima
2;nimtume wa mwisho
3;kitabu kitukufu quran(maandiko pekee mwenyez mungu aliahidi kuyakilinda mpaka kiama)
4;umma wake kuwa wakwanza kuingia peponi
5;hakuwahi kuuombea umma wake mabalaa isipokuwa rehema

Garage watu wanapiga hela kwa kutoa kilichopo ndani ya exhaust ya gari hasa gari ndogo we utabaki kulalamika gari yangu haina nguvu kupanda mlima au mlio wa gari yangu umebadilika kumbe fundi garage anajua alichokifanya.