@nyema_@EduTalkTz Laana ya Mwenyezi Mungu iwe juu yako na kizazi chako,usitukane imani za watu wengine kwa sababu ya Mpuuzi mmoja. Mtume angekuwa muuaji leo kusingekuwa na Waislamu billion 1.5 Duniani.
@Phbhimself Tofautisha kati ya Wayahudi na Wazayuni, sio Wayahudi wote ni Wazayuni na sio lazima uwe Myahudi ili uwe Mazayuni. Wenye influence ni Mazayuni na wanaunganishwa na itikadi ya Uzayuni.Waislamu wanafuturu kulingana na kuzama kwa jua sio kwa kuangalia saa bro, usipotoshe watu.
@fredkavishe@DStv_Tz Dstv inasikitisha sana hasa kutoweka mechi za maana kwenye compact wakati tuna lipia Tshs:60,000/= nikilipia na kuw na hasira kwa kweli.
@Phbhimself Ila mfahamu kuwa, tulipokosea Waafrica na Waaarabu ni kukubali kutawaliwa na Mzungu, na kinachoendelea duniani ni kutawaliwa kifikra na Mzungu, Waasia walishajitambua na Waafrika tutakuja kujitambua na ndio itakuwa anguko la mtu mweupe. We are more intelligent than whites bro.
@iamcleopatricia Alhamdullillah, mie napata huduma zote na mapenzi ya dhati kwa mke wangu ila na mimi nawajibika ipasavyo katika majukumu yangu kwake na familia yetu.Tufahamu kuwa wenza lazima kila mmoja awajibike ipasavyo kwa sehemu yake. Surely mtafurahia maisha.