@Hunterjay12345 Labda unataka kutudanganya humu. Picha hii Siyo ya Mbeya. Hii ni Songea mjini. Picha imepigaa usawa wa stand ya zamani kwa juu kuelekea ofisi za manispaa. Na hapo kanisa kuu linaonekana vizuri sana
HAYA NDIYO MATOKEO YA KUKOSA KAZI ZA MSINGI
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Zanzibar ACP Abubakar Khamis Ally amesema Jeshi hilo litaendelea kuwakamata wale wote wataoonekana au kukutwa wakila chakula mchana hadharani katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani
Tumepata baraka ya mvua kubwa katika eneo la Katesh, wilaya ya Hanang, mkoani Manyara ambayo kwa bahati mbaya pia imeleta maafa ya mafuriko. Natoa pole sana kwa wahanga wa tukio hili.
Nimeelekeza vyombo vyetu vya kukabiliana na maafa katika eneo hili ambapo tayari vimeanza kazi ya kusaidia kwenye uokozi na kuzuia maafa zaidi kutokea. Wakati juhudi hizi za uokozi zikiendelea, tuwaweke katika dua na maombi wahanga wote na wale walio mstari wa mbele kwenye kazi ya uokozi.