SUPERSPORT
Rasim shilika la television la mpira wa miguu SuperSport wamethibitisha kuwa watarusha matangazo ya michuano ya AFCON 2023 Yatakayo anza kutimua vumbi kuanzia
Jan 13 2024 hadi Feb 11 2024
AFCON LIVE ON SUPERSPORT
#TotalEnergiesAFCON2023#AFCON2024#Afconwithkinny
Tunapenda kutoa shukurani za dhati kwa kipindi cha Sports HQ cha @efmtanzania kwa kutupa nafasi ya kipekee kuzungumza kuhusu huduma zetu za furniture repair. Katika mahojiano hayo, tulitoa elimu na ufafanuzi wa kina kuhusu jinsi fanicha za wateja wetu zinarejea katika hali nzuri
Karibuni sana Mfugale Furniture tupo Boko Calfonia, Bagamoyo Road pamoja na Mbezi Beach Makonde. Kwa huduma za Uzalishaji,Utengenezaji na Marekebisho ya samani zako za ndani. Usisite kutucheki kupitia WhatsApp link yetu👇🏾👇🏾👇🏾
https://t.co/3fYgfwJgqT…
Graphics: @twiterhymus
Fika ofisi zetu zilizopo Boko Calfonia ujionee sofa hii yenye fiber ya kutosha, Spring ya kukupa utulivu wakati wa kukaa & beki zake zimetengenezwa kwa kutumia godoro bora kabisa #godorododoma ambalo linakupa utulivu wa mwili na akili wakati ukiwa umetulia kwenye set hii.Wahi leo
Fika ofisi zetu zilizopo Boko Calfonia ujionee sofa hii yenye fiber ya kutosha, Spring ya kukupa utulivu wakati wa kukaa & beki zake zimetengenezwa kwa kutumia godoro bora kabisa #godorododoma ambalo linakupa utulivu wa mwili na akili wakati ukiwa umetulia kwenye set hii.Wahi leo
🔥Penalty ya Inonga baka🔥 MCHEZAJI KUTOKA LIGI KUU TANZANIA BARA ANAINGIA ROBO FAINAL
JUMANNE NI MALI (diara) VS BURKINA FASO (aziz ki)
Ligi kuu Tanzania bara
Video ipo kwenye comments
#AFCON2023#TotalEnergiesAFCON2023
Mapema jana Simba Sc ililiomba shilikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF. Kuutumia uwanja wa New Aman Complex kuwa uwanja wao wa nyumbani.
Bado TFF hawajatoa maamuzi kamili lakini kwenye kanuni Simba hawana haki ya kuwaruhusu,
Angalia pichani kanuni namba 9,4
#ligikuu
🚨 BREAKING:
CAF imemsimamisha alie kuwa kocha mkuu wa Tanzania Adel Amrouche mechi (8) baada ya kusema mameno ya uongo kuhusu CAF na shilikisho la soka la Morocco
Na pia amesimamishwa kuwa kocha mkuu wa 🇹🇿
#afcon2023#TotalEnergiesAFCON2023#Tanzania
🇬🇭 Ghana 2-2 🇪🇬 Egypt
⚽️ Kudus 45+3', 71'
⚽️ Marmoush 69'
⚽️ Mostafa 74'
Cape Verde wanabaki kuwa vinara wa Group B wakiwa na mchezo mkononi dhidi ya Mozambique Leo hii.
#AFCON2023#TotalEnergiesAFCON2023#Afconwithkinny
INSUE Mshambuliaji wa EQUATORIAL GUINEA jana anaingia kwenye vitabu vya historia ya AFCON tangu kuanzishwa kwake.
AFCON mpaka saivi imekuwa na jumla ya hart-trick (19) tangu kuanza kwake,
Ni INSUE mwamba Guinea ya ikweta
#TotalEnergiesAFCON2023#AFCON2023#Afconwithkinny